2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi beach (Almas Street)
Ina Vyumba Viwili Vya Kulala ,Sebule , Jiko na Choo cha public
Inajitegemea kwenye umeme
Bei : 650,000 Tsh Kwa Mwezi ( Malipo yanajumuisha gharama za maji ,ulinzi na usafi)
Contact call 0712531657#0789731695