2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI
SEHEMU 'A'
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 370,000\/= X 3
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY KODI YA MWEZI MMOJA)
π ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15\/12\/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
SEHEMU 'B'
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI KWA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 250,000\/= X 3
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI CAUTION MONEY KODI YA MWEZI MMOJA
πHII SEHEMU 'B' IPO WAZI TAYARI
π«π« APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA ZIPO MUDA WOTE
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU
0716223412
0683597453
0618976024