2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(350,000X4)MBEZI MWISHO 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BODA ELF MOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 6 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 350,000/= X 4,5,6
NB: UKILIPIA HII NYUMBA KUNA LAKI MOJA KAMA HELA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY)..SIKU UNAONDOKA HUJAFANYA UHARIBIFU UNARUDISHIWA PESA YAKO
💫💫APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1. NA USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024