2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(250,000X3)MBEZI KWA MSUGURI 2.5KM KUTOKA MOROGORO, BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA
INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 3
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM
#SEBULE
# JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#LUKU METER YA UMEME INAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANAFLOW
BEI NI 250,000/= X 3
💫💫 APARTMENT HII IPO KWAMSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.5 USAFIRI NI BAJAJI 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0717223412
0683597453