2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


🏠INAPANGISHWA APARTMENT –MBEZI BEACH MASANA NJIA YA GOBA DAR ES SALAAM
đź’° Kodi: Tsh Laki 600,000/= kwa mwezi(Malipo ya miezi 6)
✨ Sifa za nyumba:
• Vyumba 2 vikubwa vya kulala (kimoja ni Master)
• Sebule kubwa na Jiko lenye makabati
• Bafu la ndani na la public
• Gypsum, Tiles, na Windows za Slides
• Umeme wa Luku binafsi
• Maji ya bomba saa 24
• Parking space ipo
• Nje imepangwa kwa Paving blocks
• Nyumba imezungushiwa uzio (Fenced)
📞 Wasiliana nasi:



















