2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 300,000X3x4
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI MWICHO BALABALA YAMPIGI MAGOE KITUO MACHIMBO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI BARABARA IKOPOWA KABISA NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3,5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 4 UPO KWENYE NYUMBA
π APARTMENT HI INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA DANINGI
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU 1 NDOI TAKUWA WAZITALE 20/11/20/25 KUONA NAKULIPIA RUKSA
BEI NI 300,000X3X4
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA NDUGU MTEJA FENSI WANAAZA KUJENGA WIKIHI NIUHAKIKA MAFUNDI WAPO KAZINIππ
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















