2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM 1 NJIA MKEKA
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom kubwa Sebule kubwa jiko la nje na public toilet ndani
Kodi 250,000 kwa mwezi × 4
Umbali km 1 bodaboda 1000
Parking ipo fence zipo 4 inajitegemea umeme na maji zipo tu
Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
Contact
0742260844
0657384670