2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT YA KISASA KABISA INAPANGISHWA #MBEZI_MWISHO_KWA_YUSUPH
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#ZIPO APARTMENT 2 KWENYE FENSI MOJA NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU NA HII MOJA NDIO IPO WAZI
#GARDEN NZURI
#PAVING
BEI NI 350,000 ร 6
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธAPARTMENT HIZI ZIPO MBEZI INN
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 KWA MIGUU
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300