2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
NAFAULISHA NAFAULISHA
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI NJIAYA MPIJI
===
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedrooms sebule jiko na public toilet
===
Kodi 200,000 Kwa mwezi × 4
===
Umbali KM 3.5 Usafiri dala dala zipo
700
===
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
=== Call 0659244543