2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI KABISA INAPANGISHWA HII SIYOO YA KUACHA KABISAA WATEJA ZANGUU
LOCATION:MBEZI MWISHOO NJI YA KWENDA MPIJI(MACHIMBO)
BAJAJI:1000
KODI YAKE:250,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 3
SIFA YA NYUMBA
✅VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER
✅SEBURE KUBWA
✅JIKO SAFI LA MAKABATI
✅FENCE
✅PARKING KUBWA
✅PAVING BLOCK
✅UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
CONTACT
0782428327