2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI NJIA YA MPIJI MAGOHE #200k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 200,000 Kwa mwezi× 6
Ukipanda Bajaji au Daladala za mpji MAGOHE ukitokea mbezi unashukia MACHIMBO
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni tank lipo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167