2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI DK5 KWA MIGUU KUTOKA LAMI ITAKUWA WAZI TAR 20.7.2025
------
VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000/=
BEI NI 500,000/= X 6
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA AMBAYO NI LAKI 5
---------
CONTACT
#0676_218580(WHATSAPP)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏