2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: MBEZI KIBANDA CHA MKAA
Distance: Dakika 7 Kutoka Morogoro Road 🚶
PRICE: 300,000 × 6
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Kitchen With Cabinets
✍️Public Toilet Inside 🚻
✍️Umeme LUKU Yako
✍️Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✍️Reserve TANK
(Plus Na Deposit Ya 150,000/= Ina Ambatana Na Kodi)
NYUMBA INA FENCE YA WAYA ILA USALAMA WA KUTOSHA KABISA NA PIA KUNA MLINZI AMBAYE ANALIPWA NA MWENYE NYUMBA 👍
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Normal: 0688 067 289 📞
WhatsApp: 0714 418 005



















