2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
BEI NI 400,000/= X 3
MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 400,000/= X 3, 4,5...
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
PIA UNAWEZA KUPITIA NJIA YA KIMARA TEMBONI NA KUFIKA HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
=======
CONT
0683234124
0752978231