2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#0742260844_#0657384670
.
NI APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA INAPANGISHWA
ZIPO APARTMENT MBILI TU KWENYE FENSI NA ZIMEKAA MBALI MBALI SANA A
NA ZIMETENGANISHWA MA UKUTA
KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
APARTMENT IPO MBEZI MWISHO NYUMA TU KIDGO YA STEND YA MKOA MAGUFUL BUS TEMINAL
UMBALI WA KM 1 TU KUTOKA MOROGORO ROAD PIA USAFIRI WA BODA UPO ELFU MOJA TU MPKA NYUMBAN
SIFA ZA NYUMBA
============
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
APARTMENT INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR SANAA FULL HITAR YA MAJI MOTO NA BARIDI VYUMBA VYOTE
BRBR IPO VIZUR SANA KWA AINA YOYOTE YA GARI
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT