2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
🏠 APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
>INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA WAPO NI MASTER
>SEBULE KUBWA SANA NA
>JIKO ZURI LA KISASA
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA NDANI YA FENCE
LOCATION;ÑYUMBA IPO MBEZI KWA MSUGURI UMBALI KM 1 TOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WAKUTOSHA
BAJAJI 🛺700
PIKIPIKI🏍️1000
💰KODI 500,000 MIEZI (6)
SERVICES CHARGE ELFU 15,000
#0625606710