2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
MBEZI MWISHO NJIA YA MSUMI / KITUO KAVIMBILWA
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 3
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 180,000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM#0674860193