2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Mbezi Luguruni
🕑2km Kutoka Morogoro Main Road, Usafiri ni Boda Boda Mpaka Hapo.
#SIFAZAKE
🔹Vyumba viwili, Kimoja master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Public Toilet
🔹Umeme & Maji #Inajitegemea
🔹Fenced Car Parking
👉Zipo 4 Hapa, Na hii Moja Ndio Inafaulishwa Iwahi
🔶Kodi Tsh 300,000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 300,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊