2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA 15/08/2024 KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA NDUGU MTEJA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#PAVING
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
โผ๏ธ APARTMENT YA CHINI KABISA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 350K X 6
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO MIEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CALL
O627977383