2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 250,000/= ร 3
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO ZURI
#PUBLIC TOILET NDANI
#MAJI YANAFLOW NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA
#FENSI KUBWA
#PARKING
BEI NI 250,000/= ร 3
๐๏ธ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND YA MKOA MAGUFULI BUS TERMINAL
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 TU USAFIRI BODABODA 1000 MPAKA GETINI
#๐ก๐: ๐ก๐ฌ๐จ๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐ก๐๐๐๐จ๐๐๐ฆ๐๐ช๐ ๐๐จ๐ข๐ก๐ ๐ก๐ ๐๐จ๐๐๐ฃ๐๐ ๐ฅ๐จ๐๐ฆ๐
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15,000 NA MALIPO YA DALALI NI KODI YA MWEZI MMOJA
simu 06 59 33 67 51 wap 07 86 08 56 37