2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
Repost Dalalimbezibeach_semba
APARTMENT INAPANGISHWA
MAHALI : MBEZI BEACH (Almas STREET)
Ina VYUMBA VIWILI VYA KULALA
SEBULE , JIKO NA CHOO CHA PUBLIC
INAJITEGEMEA KWENYE UMEME NA MAJI
BEI : 650,000 TSH KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI
IMEJUMUISHWA GHARAMA ZA MAJI ,ULINZI NA USAFI)
CONTACT 0685 006223
WHATSAPP 0718 759287
DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
PIA VIWANJA VINAPATIKANA VYA KUNUNUA