2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#APARTMENT 2 KALI SANA ZINA UZWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK10 KUTOKA LAMI KWA MIGUU.
--------
SQMT 2987
HATI MILIKI SAFI
---------
SERVICE CHARGE 30,000/=
BEI MILIONI 120
----------
Kila nyumba ina Vyumba viwili vya kulala kimojawapo Ni Master bedroom, Sebule kubwa, Jiko Nzuri lenye makabati [Open kitchen],Choo cha familia,Umeme luku inajitegemea
Nyumba ina fensi ya waya ndugu mteja
--------------
Kila apartment moja inapangishwa kwa laki tatu kwa mwezi na zina wapangaji tayari
----------
CONTACT
#0686_218580(WHATSAPP)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿