2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Mpya Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach m Buyuni ( Karibu na shoppers
Ina :
🔸️ Vyumba Viwili Vya Kulala ( Vyote Masta)
🔸️ Sebule
🔸️ Jiko la Kisasa lenye Makabati
🔸️ Choo cha Public
🔸️ Parking Space
Inajitegemea kwenye Umeme
📌Dakika 2 Kwa Mguu Kutoka Lami.
Bei : 700,000 Tsh Kwa Mwezi
Gharama za ulinzi ,maji na usafi ziko ndani ya kodi..
dalalimbezibeach_goba_salasala
0715127812