2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







WASWAILI WANASEMA CHELEWA CHELEWA UTAKUTA MWANA SI WAKO
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5 MPKA 6
NI APARTMENT NZURI MNOO MPYAAA KABISA INAPANGISHWA
APARTMENT 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO MBEZI HII NJIA YA KUELEKEA KINYEREZI KITUO NI KIBOZON
APARTMENT ZIPO UMBALI WA DK 3 TU KUTOKA BRBR YA LAMI
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VIKUBWA
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI KUBWA
LENYE MAKABATI
CHOO PUBLIC
AINA MASTER
TILLES &GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAKE
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
MAZINGIRA MAZURI
NA TULIVU
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637