2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa 
- Mbezi beach, Dar-es-salaam , Tanzania 
-Vyumba viwili vya kulala (vyote masta) 
- Sebule
- Dining
- Jiko lenye makabati 
- Choo cha public 
- Inajitegemea kwenye umeme na maji
- Ac
(Bila Furniture)
Bei : 700,000 Tsh kwa mwezi
Mawasiliano: 
0768753468 au 0784397369
#sarumborealestate#mbezibeach#daressalaam#tanzania#ac#heater#dining#vyumbaviwiili




















