2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Mpya Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach (Tankbovu) , Dar-Es-Salaam, Tanzania
Ina :
๐ธ๏ธ Vyumba Viwili Vya Kulala ( Kimoja Masta)
๐ธ๏ธ Sebule
๐ธ๏ธ Jiko la Kisasa lenye Makabati
๐ธ๏ธ Choo cha Public
๐ธ๏ธ Parking Space
Nyumba Ya Pili Kutoka Lami
Bei : Million 1.5 Tsh Kwa Mwezi
Kwa Mawasiliano Zaidi:-
Piga :0715384892