2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK 5 KWA MIGUUU...
KWA WALE WAVIVU WA KUTEMBEAAAAA...
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble Kubwa
Jiko makabati
Public toilet
Maji Ndani
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence zipo 2
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
0679447338
0753454167