2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam






300,000 APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA WAPO NI MASTER SEBULE JIKO PUBLICK YA NDANI IPO
NDANI YA FENCE IPO MBEZI MWISHO UMBALI KIM1; TOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WAKUTOSHA
PIKIPIKI🏍️1000
Inakuwa wazi
30/8/2025
KODI 300,000 MIEZI (6)
0679 956 863
0759151524
0781 418 437