2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 350,000X6
π«π« APARTMENT IPO MBEZI KWA MSUGURI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI 1.2km
π APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 4 TUU
BEI NI 350,000X6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA NDUGU MTEJA HINYUMBA IPOTAYALI KWAKUHAMIA ππ
CONTACT
0742260844
0657384670