2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 4
π APARTMENT HIZI ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI
SEHEMU 'A'
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#PUBLIC TOILET
#HAKUNA MASTER BEDROOM NI VYUMBA 2 TUU VYA KULALA NA CHOO KIPO HUMO HUMO NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 250,000/= X 4
SEHEMU 'B'
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 220,000/= X 4
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
0712656027