2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







🏠APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
>INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA WAPO NI MASTER
>SEBULE NA
>JIKO
UMEME INAJITEGEMEA MAJI (3 NDANI YA FENCE
LOCATION:NYUMBA IPO MBEZI KWA MSUGURI UMBALI KIM1;5 TOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WAKUTOSHA
BAJAJI🛺700
PIKIPIKI🏍️1000
KODI 250,000 x MIEZI 6
SERVICE CHARGE TSH 15,000
PIGA SIMU #0625606710