2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
NB:HAKUNA MASTER
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 350,000/= X 6
🛣NYUMBA HII IPO MBEZI MWISHO
NJIA YA GOBA .. KUTOKA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679 956 863
0759151524
0781418437