2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam





APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
KODI 300,000 × 6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA WAPO NI MASTER SEBULE NA JIKO
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA IPO NDANI YA FENCE
LOCATION MBEZI KWA MSUGURI UMBALI Km 1.5 TOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WAKUTOSHA
BAJAJI🛺700
PIKIPIKI🏍️1000
KODI 300,000 × 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300