2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(300,000 × 5,6) 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗦𝗨𝗚𝗨𝗥𝗜
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= × 6
🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
Vyumba Viwili vya kulala
Sebule kubwa
Jiko zuri
Public toilet
Haina master
UMEME NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
PARKING KUBWA
FULL SECURITY
BEI NI 300 000/= × 5,6
💫💫APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.6
Bajaji 700
Bodaboda 1000 mpaka mlangoni
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0679 997610