2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam


โจ APARTMENT ZA KISASA ZINAPANGISHWA โ MBWENI MPIJI (KARIBU NA APC)
๐ฐ Kodi: TSh 500,000 kwa mwezi
Furahia maisha ya kisasa kwenye apartment nzuri na tulivu zilizopo eneo la Mbweni Mpiji!
๐ SIFA ZA APARTMENT:
โข ๐ Vyumba 2 (1 Master)
โข ๐ Sebule kubwa yenye nafasi
โข ๐ฝ Dining
โข ๐ณ Jiko lenye makabati ya kisasa
โข ๐ฟ Public toilet
โข ๐
Balcony ya kuvutia
โข ๐ Parking kubwa ya kutosha magari
๐ Eneo: Mbweni Mpiji โ karibu na APC, mazingira tulivu na salama.
๐ Wasiliana:
#0758998074๐
#0689138795whatsapp