2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mjini, Ruvuma







IPO WAZI SASA MPANGAJI KASHAHAMA.
--------------------
APARTMENT INAPANGISHWA IPO #KIMARA_MWISHO
#UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
#UPANDE WA KUSHOTO UKIWA UNATOKEA MJINI KWENDA MBEZI UMBALI
#USAFIRI BODABODA NI ELFU MOJA NA BAJAJI TSH 700 UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 2.
APARTMENT YA =
#Vyumba 2 vya kulala
#Vyote master bedrooms
#Sebule kubwa
#Jiko la kisasa
#Stoo kubwa
Tails & gypsum
Rezev Simtank
Choo cha wageni nje
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni
Ndani ya fensi Peving Parking space kubwa
-----
Kodi ni laki 450,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
#apartment iliyowazi ya chini