2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Nyasaka, Mwanza
APARTMENT INAPANGISHWA NYASAKA
✔️ina vyumba viwili vya kulala vyote ni self contained, sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet ya nje
✔️ ina Air Condition, heater, makabati jikoni, water resrve tank na car parking space
✔️ umeme na maji unajitegemea
✔️ kodi Milioni 6 Kwa Mwaka
✔️ malipo ni miezi sita
NB:-
☑️ Nyumba iko karibu na barabara ya lami
☎️ 0743220097