2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA NI MASTER), SEBULE NA JIKO LENYE KABATI, FENI IPO VYUMBANI KOTE.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI (UWANJANI)
KODI: 200000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI KWANZIA SITA NA KUENDELEA.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.