2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
APARTMENTS ZINAPANGISHWA, ZIPO NDANI YA FENSI, IMEBAKI MOJA TU (NI MPYAAA)
ZINA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER) VYUMBA VYOTE VINAKABATI | SEBULE | JIKO LENYE KABATI | FENI SEBULENI NA VYUMBANI KOTE | HEATER VYOONI KOTE | TENKI LA MAJI LAKUJITEGEMEA LTRS 3000
MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU, KITUO KONA MATAA
KODI: 300,000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI SITA.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.