2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA (APARTMENT ZIPO NNE TU)
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (VYOTE MASTER) VYUMBA VYOTE VINAFENI, SEBULE YENYE FENI NA JIKO KUBWA.
UMEME NA MAJI MITA INAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI.
KODI: 180000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 3.
SERVICE CHARGE 20000
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111