2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA (APARTMENT ZIPO TATU)
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (VYOTE NI MASTER), SEBULE NA JIKO, FENI IPO VYUMBANI KOTE.
LOCATION: PUGU, KITUO KINYAMWEZI.
KODI: 150000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI KWANZIA MINNE NA KUENDELEA.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.