2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA ZINAPANGISHWA, APARTMENT 2 TU.. MPYAAA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER) | SEBULE | JIKO | PAVING NJE KOTE | TENKI LA MAJI, MAJI MASAA 24
MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU KAJIUNGENI.
KODI: 350000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITANO



















