2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Sinza, Dar Es Salaam
NEW APARTMENT FOR RENT
Loc:sinza
Price:600,000 per month
Term:six month
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Classification:
Vyumba 2 vya kulala kimoja master, sebule jiko kubwa la kisasa full tiles gypsum board madirisha ya kioo ndani ya fensi umeme unajitegemea maji unajitegemea ndani ya fensi zipo 2
Fanya kazi na Dalali smart, Kazi zimenyoka
For more info:
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈