2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Sinza, Dar Es Salaam


Apartment moja kali sanaa
@
Inapangishwa
@
Bei 800.000//700.000
@
malipo miez 6 na dalali 7
@
Ni nyumba ya vyumba 2 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja master
@
Ipo sinza
@
Umeme mita yako maji pia
@
Parkingi ipo
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687