2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Sinza, Dar Es Salaam


Apartment kali sanaa
@
Inapangishwa
@
Bei 900.000 kwa mwez
@
Mahali sinza
@
Malipo miez 7 na dalali 8
@
Ni vyumba 2 sebule jiko choo
@
Vyumba vyote master
@
Umeme mita yako maji shea
@
Parkingi ipo
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687