2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Sinza, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA IPO SINZA VATICAN NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 550,000/= X 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/ 2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET NZURI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI YAPO MASAA 24
#PARKING
BEI NI 550,000/= X 6
UKILIPIA KODI HII UTALIPIA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY SHILINGI LAKI 2 TUU)
💫💫 APARTMENT HII IPO SINZA VATICAN JIRANI KABISA NA BARABARA NA MTAA MZURI SANA NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Simu 0757 404087