2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
IPO TABATA KISUKURU MAJI CHUMVI
INA VYUMBA VIWILI
KIMOJA MASTA
SEBULE
JIKO
______
PARKING
NDANI YA FENCE ZIPO 2 TU
AC IPO
ELECTRIC FENCE
__________
MAJI UMEME UNAJITEGEMEA
KODI TSH 300,000 KWA MWEZI
PIGA 👉 0788373343
SERVICE CHARGE 15000
===============