2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


🇹🇿Apartment Classic For Rent
Location: TABATA SEGEREA CHAMA
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 8 Kutoka Main Road
✔️Sebule Kubwa
✔️Dinning Room
✔️Vyumba VIWILI Vikubwa
✔️Vyote Ni Master Bedroom
✔️Jiko Kubwa Zuri
✔️Public Toilet 🚻
✔️Heater Ya Maji
✔️Fully A/c
✔️Electrical Fence
✔️CCTV CAMERA'S 📷
>Inajitegemea UMEME Na MAJI
>Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
>Reserve TANKS
>Fenced & Parking Space Available 🚗
Price: 600,000
BILL ZA MAJI DAWASA, ULINZI NA USAFI VIPO KWENYE KODI 🤝
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp