2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
:
๐๐ฎ๐ช๐ข๐๐ ๐๐ช๐๐ฌ๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: TABATA LIWITI
Umbali wa Kutembea Kwa Dakika Chache Kutoka Kituoni.
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Vyumba VIWILI Vya Kulala na Kimoja Wapo Master
โข Jiko Kubwa
โข Choo Kizuri Ndani
โข Maji ni Free yapo Muda Wote
โข Usafi na Ulinzi Analipia Mwenye Nyumba
Apartment zipo 4 NDANI YA FENSI Parking ya Gari ipo na Kila Apartment Inajitegemea Umeme LUKU na Maji Yapo Dawasa yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 400,000/- MALIPO KUANZIA MIEZI 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 Whatsapp