2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
.
IPO TABATA KINYEREZI ZABIKA SONGAS
.
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VIWILI
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
PUBLIC TOILET
TILLES & GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI MITA YAKE
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK
FULL A/C
MAZINGIRA MAZUR
NA TULIVU
.
IPO UMBALI WA DK 5 TU KUTOKA BRBR YA LAMI
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
CONTACT
###0655256419